Outlet metrics
Global
#833552
Tanzania, United Republic of
#1217
Category
N/A
Articles
-
3 days ago |
michuzi.co.tz | Ahmad Michuzi
Madaba_Ruvuma. Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kuisaidia jamii isiyo na uwezo wa kugharamia huduma za mawakili kwa kuhakikisha wanapata haki zao kupitia njia mbadala za utatuzi wa migogoro, au kupitia uwakilishi wa mawakili watakaotoa huduma hiyo bila malipo.
-
3 days ago |
michuzi.co.tz | Ahmad Michuzi
Na MWANDISHI WETU, TANGA. Waajiri wa sekta binafsi wametakiwa kuzingatia wajibu wao wa kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwa wakati ili kuwawezesha wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria. Wito huo umetolewa tarehe 8 Mei 2025 jijini Tanga na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Bi. Mwamini Malemi, wakati akizindua rasmi Mkutano wa 54 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mfuko huo.
-
3 days ago |
michuzi.co.tz | Ahmad Michuzi
WANACHAMA wa JUKWAA la Ushirika Mkoa wa Dodoma wametimiza kwa vitendo msingi wa Saba wa Ushirika wa kuijali jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 14 kwa Hospitali ya wilaya ya Chamwino iliyopo katika kijiji cha Mlowa barabarani kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
-
3 days ago |
michuzi.co.tz | Ahmad Michuzi
Na MWANDISHI WETU, Tanga. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema unatarajia kupata mafanikio makubwa zaidi kwa kuwa umewekewa vipaumbele vinavyolenga kupanua wigo wa wanachama, kuongeza mapato, kuboresha ulipaji wa mafao na kuimarisha huduma kwa wanachama kupitia mifumo ya TEHAMA. Aidha, umetoa rai kwa baadhi ya waajiri wa sekta binafsi nchini kuhakikisha wanawasilisha michango kwa wakati ili kuwezesha ulipaji wa mafao ya wanachama bila kuchelewa.
-
3 days ago |
michuzi.co.tz | Ahmad Michuzi
Mwenyekiti wa Jukwaa la Ushirika Mkoa wa Dodoma,Ibrahim Sumbe,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Bonanza la Ushirika kuelekea Siku ya kuelekea Jukwa la Ushirika Mkoa wa Dodoma linalotarajia kufanyika Mei 15-16,mwaka huu katika Ukumbi wa Chimwaga uliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Bonanza lililofanyika leo Mei 10,2025 katika Viwanja wa Kilimani Jijini Dodoma. ......
Contact details
No sites or socials found.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →