Radio Jambo (Nairobi, Kenya)

Radio Jambo (Nairobi, Kenya)

Radio Jambo is a Swahili-language FM radio station located in Nairobi and is part of the Radio Africa Group. It offers a variety of programming, including sports coverage, engaging talk shows, and a selection of African music.

National
English, Indonesian, Malay, Swahili
Radio

Outlet metrics

Domain Authority
37
Ranking

Global

#1663925

Kenya

#6597

Category

N/A

Traffic sources
Monthly visitors

Articles

  • Oct 1, 2024 | radiojambo.co.ke | Samuel Maina

    Leo Oktoba 2, staa wa bongo fleva Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Bosi huyo wa WCB anatimiza miaka 35 tangu azaliwe na watu mbalimbali wakiwemo familia na marafiki wamejitokeza kumsherehekea. Mama yake, Bi Sanura Kassim almaarufu Mama Dangote, ni miongoni mwa waliomsherehekea kwenye mitandao ya kijamii.

  • Oct 1, 2024 | radiojambo.co.ke | Moses Sagwe

    Mbunge wa Kapseret ambaye pia ni mwandani wa rais William Ruto, Oscar Sudi amedokeza kwamba mbadala wa naibu rais Rigathi Gachagua atatoka katika eneo pana la Mlima Kenya. Sudi kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, alisisitiza kwamba kung’atuliwa kwa Gachagua mamlakani kama naibu wa rais hakutazua mgawanyika katika eneo la Mlima Kenya.

  • Oct 1, 2024 | radiojambo.co.ke | Samuel Maina

    Siku ya Jumamosi, wasanii wa lebo ya WCB walitumbuiza mjini Mbeyanchini Tanzania katika tamasha la kila mwaka la Wasafi Festival linaloendelea. Malkia wa Bongofleva Zuhura Othman almaarufu Zuchu ni miongoni mwa wasanii walioingia jukwaani kuwaburudisha maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye tamasha hilo. Binti huyo wa malkia wa taarab Khadija Kopa hata hivyo alikumbwa na wakati mgumu jukwaani kwani baadhi ya mashabiki walianza kumvamia kwa kumrushia vitu.

  • Oct 1, 2024 | radiojambo.co.ke | Moses Sagwe

    Muigizaji Carrol Sonie amefichua kwamba bintiye na Mulamwah, Keilah Oyando si mtoto wake wa kwanza. Akizungumza na mkuza maudhui Commentator, Sonie alifichua kwamba alishawahi kuharibikiwa na mimba ya kwanza kabla ya kuja kumpata Keilah baadae. Hata hivyo, Sonie alieleza kwamba hakuwa tayari kwa mtoto huyo lakini hawezi kusema kama kwa upande wa Mulamwah alikuwa tayari kuitwa baba au la.

  • Oct 1, 2024 | radiojambo.co.ke | Moses Sagwe

    Msanii wa injili mwenye utata, Ringtone Apoko amefichua sababu ambayo imemfanya kuchelewa kuoa licha ya kuwa na kila kitu maishani anachokihitaji kasoro mke. Akizungumza na waandishi wa habari za burudani, Apoko alisema kwamba mpango wake ulikuwa kufunga harusi mwaka huu lakini serikali imemfanya kuhairisha tena hadi mwaka ujao.

Radio Jambo (Nairobi, Kenya) journalists

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

Traffic locations