Florence Majani's profile photo

Florence Majani

Tanzania

Multimedia Journalist at Freelance

Journalist/Multi-Award Winner in Journalism/Media Policy and Advocacy at TAMWA/IVLP-US Alumni/Ama-Bhungane/MCL Editor/DW-Reporter/Co-founder WINO-Tanzania.

Articles

  • 3 days ago | dw.com | Florence Majani

    Wamejadili changamoto na fursa za mabadiliko ya tabia nchi katika sekta ya chakula na lishe, pamoja na mbinu za kuimarisha mifumo endelevu, salama na rafiki kwa mazingira. Mkutano huo, ulioandaliwa na Shule ya Afya ya Uingereza kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), umekutanisha wadau wa kilimo na lishe kutoka nchi mbalimbali, ukilenga changamoto za mabadiliko ya tabia nchi katika mifumo ya chakula na lishe.

  • 2 weeks ago | dw.com | Florence Majani

    Hii ni baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho upande wa Zanzibar, Said Issa Mohamed, na wenzake, kufungua kesi ya msingi wakilalamikia hatua ya chama hicho kuibagua Zanzibar katika shughuli zake, zikiwemo rasilimali za kifedha. Kwa mujibu wa maamuzi ya mahakama, katika kipindi cha siku 14, safu nzima ya uongozi wa Chadema haitaruhusiwa kufanya shughuli zozote za kisiasa.

  • 2 weeks ago | dw.com | Florence Majani

    09.06.20259 Juni 2025Mvutano wa kauli mbiu kwenye mitandao ya kijamii washika kasi, Chadema yashinikiza mabadiliko ya Katiba huku serikali ikisisitiza uchaguzi utaendelea kama kawaida. https://p.dw.com/p/4vdoBKabla hata ya kampeni rasmi kuanza, mapambano ya kisiasa yameshika kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli mbili zinazokinzana — No reforms, no election na Oktoba tunatiki — zimezua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa uchaguzi wa Oktoba na hali ya demokrasia nchini.

  • 3 weeks ago | dw.com | Florence Majani

    vyombo vya ulinzi na usalama vilizingira kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Kanisa hilo limezingirwa ikiwa ni siku moja baada ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emanuel Kihampa, kulifungia kanisa hilo kwa madai ya  kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa kwa nia ya kuichonganisha serikali na wananchi. Hata hivyo, wakati usahihi wa barua hiyo ukiendelea kutafutwa, polisi walikwenda kulizingira kanisa hilo.

  • 3 weeks ago | dw.com | Florence Majani

    02.06.20252 Juni 2025Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa (CHADEMA) Tundu Lissu imesikilizwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku upande wa serikali ukiendelea kuleta hoja kuwa bado upelelezi haujakamilika https://p.dw.com/p/4vHtQSaa 2 na dakika 28 za asubuhi, Mwenyekiti huyo wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Tundu Antipas Lissu alifikishwa katika viunga vya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

X (formerly Twitter)

Followers
2K
Tweets
711
DMs Open
No
Florence  Majani
Florence Majani @sango_sukari
30 May 25

I love you Lord, for your mercy, never fails me.

Florence  Majani
Florence Majani @sango_sukari
29 May 25

RT @mwlkeberenge: @sango_sukari @zittokabwe @nsamila @winharder_ @bajabiri @yose_hoza @Nnauye_Nape @ChrissMauki Moja ya kazi yake nzuri nil…

Florence  Majani
Florence Majani @sango_sukari
29 May 25

The legend has fallen, Nimesoma kazi zako nyingi na nikazishika kichwani mwangu kama mafundisho. Sitaisahau, The River Between, I will marry when i want, A meeting in the Dark,nikajibia mitihani yangu ya English Language 2, Kidato cha 5& 6 RIP @zittokabwe najua umeumia. https://t.co/rHyNDQ5SaD