Francis Ngala's profile photo

Francis Ngala

Malindi, Nairobi

#AJEA 2025 Award-Winning Multimedia Journalist (Podcast of the Year ). @Kbcchannel1 @RadioTaifaFM

Articles

  • 2 months ago | swahili.kbc.co.ke | Francis Ngala

    Kundi la wanawake la Paran lililo na makao yake makuu katika eneo la Ololunga Kaunti ya Narok, limesimama kama taa ya matumaini katika utunzaji wa mazingira na uwezeshaji wa wanawake. Tangu kuasisiwa kwake mwaka 2005, kikundi hiki ambacho kimeundwa na vikundi 64 za wanawake kutoka jamii asili za Maasai na Ogiek kimeibuka kuwa mfano bora wa jinsi jamii za mashambani hasa wanawake wa jamii za asili walivyogeuza changamoto kuwa fursa, na mazingira kuwa msingi wa matumaini mapya.

  • 2 months ago | swahili.kbc.co.ke | Francis Ngala

    Wakazi wa Soko Mjinga huko Isiolo wanakadiria hasara baada ya Pasaka yao kuvurugwa na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na kuathiri angalau nyumba 200. Mvua hiyo ambayo haijashuhudiwa kwa muda mrefu katika eneo la Isiolo ilisababisha uharibifu mkubwa wa mali ya mamilioni ya pesa na kuwaacha baadhi ya wakazi bila makao.

  • Aug 28, 2023 | kbc.co.ke | Francis Ngala

    Thirty-nine-year-old Joyce Mema Wanjiru, a mother of five is a distressed woman. She is a victim of the now common attacks in Lamu County blamed on alshabaab militants and which have left a trail of destruction, death and displacement in their wake.

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

X (formerly Twitter)

Followers
1K
Tweets
14K
DMs Open
No
Francis Ngala
Francis Ngala @FrancisNgala_
22 Jun 25

RT @Saitabao: Wednesday June 25th is a day the government CANNOT afford to bungle. How they handle it will determine whether this regime su…

Francis Ngala
Francis Ngala @FrancisNgala_
22 Jun 25

So Kamket is the real. Owner of bandits going by this....?

Cornelius K. Ronoh
Cornelius K. Ronoh @itskipronoh

William Kamket: I will sponsor 200 bandits to go to Nairobi to shoot Gen Z on #June25th. Ebu salimieni huyu warlord! https://t.co/xlr6Uc2XBk

Francis Ngala
Francis Ngala @FrancisNgala_
19 Jun 25

Am. Going to sue you guys as if he has financial muscles against The Nation🤣🤣

Cornelius K. Ronoh
Cornelius K. Ronoh @itskipronoh

Salamu kutoka kwa GenZ zimekuwa mingi. MCA Absolom amesema his life is in danger! You cannot hire goons and get away with it. Finyaaaaa! 😂😂😂😂 https://t.co/MmqGJu7Vbs