
Ibrahim Mussa
Multimedia Journalist at Freelance
Multimedia Journalist. Past @boomlive_in @indiatoday @indianexpress @kashmirobserver @kashmirmonitor Documentary film-maker, 📸 ⚽️
Articles
-
1 week ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Sungu Mtata huenda unapokutana naye mtaani kama hujaambiwa ni bondia, basi siyo rahisi kukubali kutokana na nidhamu ya upole ambayo amekuwa nayo hata mwonekano wake licha ya kuwa na mwili uliojazia kwa mazoezi. KUTOKA Kibiti hadi Ikwiriri Mkoa wa Pwani, ndiyo mitaa ambayo bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa kwenye uzani wa Super Walter, Ramadhan Mkwakwate maarufu zaidi kama Sungu Mtata ndiko anakotokea.
-
2 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Katika kada ya mchezo wa ngumi za kulipwa, baadhi ya mabondia mashuhuri waliowahi kuweka mizizi katika eneo hilo ni Mada Maugo, Dullah Mbabe pamoja na mkongwe, Said Mbelwa. CHANIKA jijini Dar es Salaam ni moja ya maeneo yenye watu wengi waliokuwa wakiishi katikati ya jiji hilo wakiwamo wanamichezo mbalimbali. Katika kada ya mchezo wa ngumi za kulipwa, baadhi ya mabondia mashuhuri waliowahi kuweka mizizi katika eneo hilo ni Mada Maugo, Dullah Mbabe pamoja na mkongwe, Said Mbelwa.
-
3 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Zugo ni miongoni mwa mabondia wanne pekee nchini waliofikia nyota nne tangu taifa hili lipate uhuru kutokana na mipango na mikakati yake kwenye mchezo huo inavyokwenda. UKIWATAJA mabondia wa Tanzania waliofikia rekodi ya hadhi ya nyota nne, basi jina la mtoto wa Zena Kipingu, mke wa Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Idd Kipingu ambaye ni maarufu kama Mama Zugo, basi jina la kijana wake, Abeid Keisy Kassy Zugo litakuwepo.
-
3 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Ibrahim Mussa
Katika kujitafuta kila mtu ana njia yake na anakutana na misukosuko yake lakini akishajipata yote huyasahau na kubakia sehemu ya hadithi za historia akisimulia wengine na ndivyo ilivyo kwa bondia chipukizi kutoka mitaa ya Mabagala, Mussa Makuka.
-
1 month ago |
mwananchi.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Huenda Abdul Zugo akawa siyo maarufu katika upande wa ngumi lakini tayari yupo kaka yake Seleman Zugo aliyeacha alama kwenye mchezo huo. Kabla ya kuibuka Seleman, alikuwepo Abeid Zugo anayeendelea kupigana hadi sasa. Abdul Kessy Kasongo maarufu zaidi kwa jina la Abdul Zugo ni mtoto wa Dar es Salaam lakini heshima yake katika mchezo wa ngumi ameenda kuipata Tabora kutokana na mchango wake na namna anavyoupa heshima mkoa huo kupitia mikono yake.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →X (formerly Twitter)
- Followers
- 278
- Tweets
- 879
- DMs Open
- Yes

RT @dw_hotspotasia: In the Indian-administered Kashmir, Kashmiri youth are increasingly removing their tattoos — many of them AK-47 rifles…

RT @shutterdoc: Kashmir passes 675 million litres of urine in month of ramadhan and 67500 metric tons of stool. https://t.co/i9WhqCxa6N

RT @pressfreedomJFK: Kashmiri journalist Irfan Mehraj today completes two years in jail. Journalist Federation Kashmir calls for his immed…