Mary Wangari's profile photo

Mary Wangari

Nairobi

Freelance Writer at Freelance

Journalist at Nation Media Group

Communication expert| bilingual translator English-Kiswahili | writer science, health, climate, technology, senate, journalist @NationMediaGroup

Articles

  • 2 weeks ago | taifaleo.nation.co.ke | Mary Wangari

    Afya na JamiiMakala Afueni majaribio ya dawa za wanaume kupanga uzazi yakifanikiwa kwa panya na nyani   Na MARY WANGARI April 30th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 NDOTO ya muda mrefu ya wanandoa kugawana majukumu ya kupanga uzazi huenda ikatimia hivi karibuni, kutokana na uvumbuzi wa kidonge kipya cha wanaume kupanga uzazi ambacho kwa sasa kinapitia majaribio.

  • 2 weeks ago | nation.africa | Mary Wangari

    The long-elusive dream of couples sharing the family planning responsibility could soon become a reality, thanks to a new male birth control pill currently undergoing trials. The male equivalent birth control medication named YCT-529 is the only non-hormonal contraceptive pill for men and is also the only one being tested on humans. Scientists are upbeat that the contraceptive will be available for use this decade if given a go ahead by health authorities.

  • 2 weeks ago | taifaleo.nation.co.ke | Mary Wangari

    KATIBU wa Wizara ya Afya, Raymond Omollo amewahimiza vijana kujisajili na Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) na kuipigia debe katika jamii zao. Kulingana naye, SHA ni kielelezo bora kuhusu jinsi sera ya kibunifu zinaweza kusuluhisha changamoto zinazokabili taifa na ulimwengu kwa jumla. Alisema Mamlaka hiyo ni moja kati ya miradi kabambe ya serikali inayodhamiriwa kufanikisha mabadiliko zaidi na imeundwa kwa namna ya kumwezesha kila Mkenya kupata huduma bora za afya pasipo kusambaratika kifedha.

  • 3 weeks ago | nation.africa | Leon Lidigu |Mary Wangari

    Members of Parliament on Tuesday began an 80-day inquiry into allegations of organ trafficking at Mediheal Hospital in Eldoret, as the hospital’s founder, former Kesses MP Dr Swarup Mishra, strongly denied the accusations. The National Assembly Health Committee, chaired by Seme MP Dr James Nyikal, said the probe would begin immediately.

  • 3 weeks ago | taifaleo.nation.co.ke | Mary Wangari

    Makala Spika Wetang’ula, almaarufu ‘Papa wa Roma’ alivyomwomboleza Papa Francis Na MARY WANGARI  April 21st, 2025 Kusoma ni dakika: 2 SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, almaarufu kwa jina la utani kama ‘Papa wa Roma’, ameungana na mamilioni ya waumini wa Kikatoliki nchini na duniani kumwomboleza Baba Mtakatifu Francis.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

X (formerly Twitter)

Followers
58
Tweets
185
DMs Open
No
Mary Wangari
Mary Wangari @MaryazMarya
5 Oct 24

https://t.co/K3Cb4tMY51

Mary Wangari
Mary Wangari @MaryazMarya
4 Oct 24

https://t.co/Tq2ZNPMwf3

Mary Wangari
Mary Wangari @MaryazMarya
5 Jun 24

CS @CSAishaJumwa during the official launch of the National Organising Team ahead of World Kiswahili Day slated for July 5 -7. https://t.co/hVGb9ZB0BL