
Articles
-
2 days ago |
taifaleo.nation.co.ke | Mwangi Muiruri
Habari za Kitaifa Hatari kwa Gachagua hamahama zikitawala mrengo wake Mlima Kenya Na MWANGI MUIRURI May 13th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua ameanza kukabiliwa na maasi Mlima Kenya baada ya baadhi ya wandani wake kumtoroka, wa hivi punde kufanya hivyo akiwa aliyekuwa Mbunge wa Nyeri Mjini Ngunjiri Wambugu. Kabla ya Bw Wambugu, waliokuwa wandani wake Mary wa Maua (Mbunge wa Maragua) na Peter Kihungi (Kangema) nao waligura kambi yake.
-
3 days ago |
nation.africa | Mwangi Muiruri
Former Deputy President Rigathi Gachagua appears to be facing defections by his Mt Kenya allies, with that of his right hand man, Mr Ngunjiri Wambugu, being the latest blow to his political game plan of ring-fencing the populous region ahead of 2027. Already, Mr Gachagua has suffered loyalty flights from Maragua MP Mary wa Maua and Kangema MP Peter Kihungi.
-
3 days ago |
nation.africa | Mwangi Muiruri
Former Deputy President Rigathi Gachagua has resigned from President William Ruto's United Democratic Alliance (UDA) as he seeks to unveil his party later this week. Mr Gachagua in a letter to the UDA Secretary General Mr Omar Hassan said his belonging to the party was untenable. "By a copy of this letter, you are notified that I have officially resigned from the UDA Party with immediate effect," Mr Gachagua wrote.
-
4 days ago |
taifaleo.nation.co.ke | Mwangi Muiruri
ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua anaonekana kutumia mkakati sawa na ule Rais William Ruto alitumia kumkabili Rais Uhuru Kenyatta kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022. Gachagua anapanga kutangaza chama cha kisiasa Mei 15, hatua ambayo inaweza kumnyima Ruto uungwaji mkono eneo la Mlima Kenya kuelekea 2027. Rais Ruto alianzisha chama cha United Democratic Alliance (UDA) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2022, huku akiendelea kuwa naibu kiongozi wa chama cha Jubilee chini ya Rais Kenyatta.
-
4 days ago |
nation.africa | Mwangi Muiruri
Former Deputy President Rigathi Gachagua’s plan to unveil his own political party by May 15 could deal a major blow to his ex-boss, President William Ruto — a strategy similar to the one the Head of State used against then-President Uhuru Kenyatta in the vote-rich Mt Kenya region ahead of the 2022 elections. President Ruto formed the United Democratic Alliance (UDA) in the run-up to the elections, while remaining Jubilee Party’s deputy leader under President Uhuru Kenyatta.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →