Saleh Mwanamilongo's profile photo

Saleh Mwanamilongo

Kinshasa

Correspondent at Freelance

Journaliste multimédia. #RTNC, @AP, #VOA et @DW_afrique. Member @FPA_Africa & @acpi_rdc. L'information a un coût, l'ignorance a un prix. Communication is POWER.

Articles

  • 1 week ago | dw.com | Saleh Mwanamilongo

    26.05.202526 Mei 2025Ziara hiyo inaelezwa na wafuasi wa Kabila kuwa inalenga kutafuta suluhisho la mzozo wa hivi sasa nchini humo. Hata hivyo, serikali imekosoa vikali ziara ya Kabila mjini Goma na kusema ni usaliti kwa taifa. https://p.dw.com/p/4uwNGDuru mjini Goma zimesema kuwa Joseph Kabila alikuwa na mashauriano na watu wake wa karibu mchana wa Jumatatu mjini huko. Lakini agenda yake rasmi haijawekwa wazi.

  • 1 week ago | dw.com | Saleh Mwanamilongo

    Kiongozi wa muungano wa kisiasa na kijeshi wa waasi wa AFC/M23, Corneille Nangaa ametangaza kuwa Joseph Kabila amewasili katika mji wa Goma. Kwenye ujumbe kupitia ukarasa wake wa X, Nangaa amesema kwa pamoja na Kabila wanadhamiria kukomesha kile alichokiita kuwa ni "udikteta na migawanyiko" nchini Kongo. Kurejea kwa Kabila nchini Kongo kumethibitishwa pia na watu wa karibu yake.

  • 2 weeks ago | dw.com | Saleh Mwanamilongo

    24.05.202524 Mei 2025Patricia Yegon afisa wa polisi amesema moto huo uliozuka katika eneo la Makina, ulianza karibu saa kumi na moja alfajiri. https://p.dw.com/p/4us5rWatu wanane wamekufa Jumamosi kufuatia moto ulioteketeza makazi ya mabanda katika mtaa mmoja wa jiji kuu la Kenya, Nairobi. Patricia Yegon afisa wa polisi amesema moto huo uliozuka katika eneo la Makina, ulianza karibu saa kumi na moja alfajiri.

  • 2 weeks ago | dw.com | Saleh Mwanamilongo

    Umoja wa Afrika umetoa wito wa usitishaji kamili wa mapigano nchini LIbya. Haya ni kufuatia mapigano ya hivi karibuni katika mji mkuu Tripoli, na maandamano ya kudai kujiuzulu kwa waziri mkuu. Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limekemea vikali ghasia hizo za mwanzoni mwa mwezi huu, na kutoa wito wa "kusitishwa mapigano bila masharti". Baraza hilo limehimiza pia "upatanisho wa kina unaoongozwa na Walibya wenyewe", na kuongeza kuwa "linatoa wito wa kutokuwepo kwa uingiliaji wa nje".

  • 2 weeks ago | dw.com | Saleh Mwanamilongo

    Papa Leo amesema mkutano wake na maafisa hao  ulikuwa fursa ya kutoa shukrani kwa kazi yote inayofanywa na wote wanauunda chombo hicho cha utawala wa kanisa kinachofahamika kama Roman CuriaPia, Papa aliwahimiza maafisa hao wa kanisa katoliki kuwa wajenzi wa umoja na kujiweka katika viatu vya wengine na kuepuka chuki.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

X (formerly Twitter)

Followers
29K
Tweets
21K
DMs Open
No
Saleh Mwanamilongo
Saleh Mwanamilongo @SMwanamilongo1
4 Jun 25

RT @dwnews: Germany's former Foreign Minister Annalena Baerbock was voted in as president of the UN General Assembly. She vowed to ensure t…

Saleh Mwanamilongo
Saleh Mwanamilongo @SMwanamilongo1
4 Jun 25

#RDC : Joseph Kabila réagit au décès du Lt-Général à la retraite Sikatenda Shabani, "compagnon de lutte de Mzee", décédé à 83 ans. "J’ai appris avec peine la disparition de ce haut officier à la retraite, qui m’a vu naître et m’a porté." Il déplore que le général ait été détenu https://t.co/OidyyXYk5Z

Saleh Mwanamilongo
Saleh Mwanamilongo @SMwanamilongo1
4 Jun 25

🔴 #RDC – #Médias : Reporters sans frontières (@RSF_inter) dénonce une nouvelle atteinte à la liberté de la presse après une décision controversée du CSAC. "Nous estimons fondamentalement que c'est une décision qui enfreint les standards en matière d'équilibre de l'information.