Articles

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Sammy Waweru

    Vendors can use your data to provide services. Declining a vendor can stop them from using the data you shared. Exponential Interactive, Inc d/b/a VDX.tvCookie duration: 90 (days). Data collected and processed: IP addresses, Device identifiers, Probabilistic identifiers, Browsing and interaction data, Non-precise location data, Users’ profiles, Privacy choicesmoreCookie duration resets each session. View details | Privacy policyConsentRoq.ad GmbHCookie duration: 365 (days).

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Sammy Waweru

    ANN Wambui, 33, alizaliwa na kulelewa jijini Nairobi, na alipokuwa mdogo, alivutiwa sana na namna nyanya yake alivyofuga kuku katika mtaa wa Huruma, kiungani mwa jiji. Ingawa mama yake pia alifuga kuku kwa matumizi ya nyumbani, ni mbinu za nyanyake zilizomhamasisha kufuata nyayo zake – ila kwa njia ya kitaalamu. “Nikiwa mtoto, nilikuwa na hamu ya kujua chakula kinatoka wapi—hasa bidhaa za kuku,” anasema.

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Sammy Waweru

    KARIBU miaka miwili iliyopita, wanachama wa Muungano wa Ushirika wa Wakulima wa Kahawa wa Ritho ulioko Gatundu Kusini, Kiambu, walipoamua kubadilisha mfumo wa uendeshaji biashara yao, hawakufahamu hatua hiyo ingewaletea mafanikio makubwa. Ushirika huo ulioanzishwa 1995 ulianza shughuli za kuchakata kahawa Juni 2023, hatua ambayo sasa imewaletea faida wanachama. “Ni miaka miwili sasa tangu tuzamie uongezaji thamani kahawa.

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Sammy Waweru

    ESTHER Ngina ni mwasisi wa Taste Kenya Exporters, kampuni inayouza mimea asilia ng’ambo ambaye hadithi yake inatia motisha – hakuna lisilowezekana kupitia bidii. Aliingilia biashara ya uuzaji wa mimea ya kiasili, ndiyo herbs kwa Kiingereza, baada ya kuhudumu katika sekta ya maua. Licha ya kuwa na Stashahada ya Usimamizi wa Masoko, safari ya Esther haikuanza kwa urahisi. Wakati mmoja – akiwa katika shule ya upili, anafichua kwamba alifanya kazi kama yaya ili kugharamia karo yake.

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Sammy Waweru

    NCHI wanachama wa Soko la Pamoja la Afrika Mashariki na Kusini (COMESA) zimetakiwa kusanifisha sera na kanuni za mbegu ili kukabiliana na kero ya uhaba wa chakula. Takwimu za COMESA zinaonyesha kuwa ni asilimia 20 pekee ya wakulima wa mashamba madogo – milioni 90 walioko katika ukanda huo wanaopata mbegu bora na zilizoboreshwa. Hii imewaacha watu milioni 130 kati ya jumla ya watu milioni 610 wanaoishi nchi 21 zinazounda muungano wa COMESA wakiishi katika umaskini na kukumbwa na uhaba wa chakula.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →