Green Waves Media

Green Waves Media

English, Swahili

Outlet metrics

Domain Authority
14
Ranking

Global

#10088142

Country

N/A

Category

N/A

Traffic sources
Monthly visitors

Articles

  • 1 week ago | greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo

    Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Na Ferdinand Shayo ,Arusha . Mbunge wa Jimbo la Monduli Fred Lowasa amempongeza Mfanyabiashara maarufu Bilionea David Mulokozi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mati Super Brands kwa kutoa misaada mbali mbali kwa watu wenye ulemavu ikiwemo viti mwendo kupitia Taasisi yake ya Mati Foundation.

  • 1 week ago | greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo

    Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Ubia wa Maendeleo baina ya Afrika na Italia kupitia mpango wa Mattei (Mattei Plan) na Mpango wa Ulaya (Global Gateway) utasaidia katika kuendeleza miundombinu, rasilimali watu, kilimo na maendeleo ya kidijitali barani Afrika.

  • 1 week ago | greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo

    Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Na WAF, DjiboutiWaziri wa Afya wa Tanzania Mhe. Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika Juni 17, 2025 walipendekeza na kumpitisha Waziri Mhagama kushika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka miwili.

  • 1 week ago | greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo

    Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Dkt. Frederick Mwakibinga, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma, ambapo aliwaomba kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kutumia mnyoyoro wa ugavi katika maendeleo ya Taifa.

  • 1 week ago | greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo

    Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Na: Hughes Dugilo, MOROGOROImeelezwa kuwa uwepo wa dhana ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi unaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Serikali, kama ilivyo kwa Sekta Binafi, nakwamba jambo hilo ni la msingi kwa maendeleo ya Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma, Dkt.

Contact details

No sites or socials found.

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

Traffic locations