
Articles
-
5 days ago |
greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Katika historia ya Tanzania, Kariakoo imesimama kama eneo lenye umuhimu mkubwa wa kijamii na kiuchumi. Ni mahali ambapo biashara zinakutana na maisha, na ndoto nyingi zimeanzishwa. Lakini kwa muda mrefu, changamoto za miundombinu, majengo chakavu na msongamano wa watu vilianza kupunguza mvuto wa eneo hili muhimu la jiji. Leo hii, Kariakoo inaibuka upya.
-
5 days ago |
greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu; juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa majukumu yetu popote pale tulipo; juu ya kuendelea kujenga jamii inayoishi katika kweli; na juu ya haki ambazo daima huambatana na wajibu kwetu sote.
-
1 week ago |
greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa CCM Mjini Tabora, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na kusikiliza kero za wananchi.
-
1 week ago |
greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Na Mwandishi wetuWananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wameiomba Wizara ya Afya kupitia Taasisi ya Saratani (Ocean Roads) na kampeni ya huduma za mkoba za Dkt Samia Suluhu Hassan ambazo zinatolewa bure na madaktari bingwa wabobezi kuwa endelevu.
-
1 week ago |
greenwavesmedia.co.tz | Hughes Dugilo
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Bw. Habibu Suluo amesema jumla ya leseni za usafirishaji zilizotolewa kwa vyombo vya usafiri wa abiria, mizigo, na magari ya kukodi zimeongezeka kutoka 226,201 mwaka 2020/21 hadi kufikia 334,859 mwaka 2024/25. Hili ni ongezeko la leseni 108,658 sawa na asilimia 48, likiwa ni wastani wa ongezeko la asilimia 12 kwa mwaka.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →