HabariLeo

HabariLeo

HABARILEO is a daily newspaper published in Kiswahili by the Government Newspapers Company (TSN). It serves as a sister publication to DAILY NEWS.

National
English, Swahili
Newspaper

Outlet metrics

Domain Authority
46
Ranking

Global

#2296117

Tanzania, United Republic of

#1463

Category

N/A

Traffic sources
Monthly visitors

Articles

  • 2 weeks ago | habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili

    DAR ES SALAAM: TANZANIA imepiga hatua katika kuimarisha kizazi chenye usawa wa kijinsia katika masuala ya kiuchumi, majukwaa, kisayansi, masuala ya ubunifu, ujumuishi wa sekta ya fedha na mikopo ya serikali za mitaa. Sio hivyo tu, pia haki za wanawake, wanaume na vijana katika kupata haki, kumiliki na kuitumia ardhi kwa rasilimali ya uzalishaji pia juhudi zimefanyika.

  • 2 weeks ago | habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili

    KINONDONI, Dar es Salaam: BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’ha kwa mwaka 2025 itafanyika Jumamosi Juni 7. Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 29 na Katibu Mkuu BAKWATA, Alhaj Nuhu Mruma, kwa Waislamu na wananchi wote nchini, ikibainisha kuwa maandalizi ya sherehe hiyo yanaendelea kufanyika kwa ustadi.

  • 3 weeks ago | habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili

    MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa chini (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha kuokoa zaidi ya Sh milioni 79  fedha za wakulima wa korosho kutoka vyama mbalimbali ya msingi mkoani humo kwa msimu wa mwaka 2024/2025.

  • 3 weeks ago | habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili

    DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa wakufunzi wa mazoezi ya viungo (gym instructors) na wasimamizi wa kumbi za mazoezi (fitness managers),ili kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja wanaopelekwa kufanya mazoezi kwa sababu za kitabibu. IIrene Mzokolo akifafanua namna vifaa vya ‘GYM’ vinavyofanya kazi.

  • 3 weeks ago | habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili

    DAR ES SALAAM: WANANCHI zaidi ya 120 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika kambi ya siku mbili inayoendea kituo cha magonjwa ya moyo Kampasi ya Mloganzila, Dar es Salaam. Kambi hiyo imeandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS ). Akizungumza katika eneo hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Appolinary Kamuhabwa amesema lengo la kambi hiyo ni kujua matatizo ya wananchi na kuwapa njia sahihi ya kupata matibabu.

HabariLeo journalists

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

Traffic locations