
Articles
-
3 weeks ago |
habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili
DAR ES SALAAM: TANZANIA imepiga hatua katika kuimarisha kizazi chenye usawa wa kijinsia katika masuala ya kiuchumi, majukwaa, kisayansi, masuala ya ubunifu, ujumuishi wa sekta ya fedha na mikopo ya serikali za mitaa. Sio hivyo tu, pia haki za wanawake, wanaume na vijana katika kupata haki, kumiliki na kuitumia ardhi kwa rasilimali ya uzalishaji pia juhudi zimefanyika.
-
4 weeks ago |
habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili
KINONDONI, Dar es Salaam: BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’ha kwa mwaka 2025 itafanyika Jumamosi Juni 7. Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 29 na Katibu Mkuu BAKWATA, Alhaj Nuhu Mruma, kwa Waislamu na wananchi wote nchini, ikibainisha kuwa maandalizi ya sherehe hiyo yanaendelea kufanyika kwa ustadi.
-
1 month ago |
habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili
MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa chini (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha kuokoa zaidi ya Sh milioni 79 fedha za wakulima wa korosho kutoka vyama mbalimbali ya msingi mkoani humo kwa msimu wa mwaka 2024/2025.
-
1 month ago |
habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa wakufunzi wa mazoezi ya viungo (gym instructors) na wasimamizi wa kumbi za mazoezi (fitness managers),ili kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja wanaopelekwa kufanya mazoezi kwa sababu za kitabibu. IIrene Mzokolo akifafanua namna vifaa vya ‘GYM’ vinavyofanya kazi.
-
1 month ago |
habarileo.co.tz | Rahimu Fadhili
DAR ES SALAAM: WANANCHI zaidi ya 120 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika kambi ya siku mbili inayoendea kituo cha magonjwa ya moyo Kampasi ya Mloganzila, Dar es Salaam. Kambi hiyo imeandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS ). Akizungumza katika eneo hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Appolinary Kamuhabwa amesema lengo la kambi hiyo ni kujua matatizo ya wananchi na kuwapa njia sahihi ya kupata matibabu.
Journalists covering the same region

Nuzulack Dausen
Journalist at Reuters
CEO and Executive Editor at Nukta Habari
Nuzulack Dausen primarily covers news in the Dodoma region, Tanzania and surrounding areas.
Fumbuka Ng'wanakilala
Journalist at Bloomberg News
Fumbuka Ng'wanakilala primarily covers news in Dar es Salaam, Tanzania and surrounding areas.

Katare Mbashiru
Writer at HT Syndication
Katare Mbashiru primarily covers news in the Dodoma Region, Tanzania, including surrounding areas like Mpwapwa and Bahi.

Sauli Giliard
Senior Writer at Daily News Tanzania
Sauli Giliard primarily covers news in the Dodoma region of Tanzania, including surrounding areas such as Morogoro and Singida.

Josephine Christopher
Business Reporter at The Citizen (Tanzania)
Business Reporter at Mwananchi
Josephine Christopher primarily covers news in the Dodoma region of Tanzania, including surrounding areas like Morogoro and Singida.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →