TRT Afrika
TRT Afrika is a digital channel that belongs to the Turkish Radio and Television Corporation (TRT), which is the main public broadcaster in Türkiye. Launched in 2023, TRT Afrika is part of TRT's broader plan to provide digital news in various languages, responding to the growing demand for accessible information worldwide. The channel offers content in four languages: English, French, Swahili, and Hausa.
Outlet metrics
Global
#873618
Kenya
#11838
Category
N/A
Articles
-
1 month ago |
trtafrika.com | Brian Okoth
Today, February 27, 2025, marks two years, five months, and 15 days since William Ruto became the fifth president of Kenya. Sworn into office on September 13, 2022, Ruto is yet to reach the halfway mark of his five-year term, but his administration has already experienced significant events.
-
1 month ago |
trtafrika.com | Coletta Wanjohi
Wizara ya Fedha nchini Uganda imetoa Waraka wa pili wa makadirio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/26 na kueleza kuwa serikali ina mpango wa kupunguza matumizi yake hadi kufikia dola bilioni 17.9 (Shilingi trilioni 66.065). Hii ni punguzo la shilingi trilioni 6.049 kutoka bajeti ya 2024/25 ya dola bilioni 19.5 (Shilingi trilioni 72.136).
-
1 month ago |
trtafrika.com | Coletta Wanjohi
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewasili nchini Somalia, na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud. " Mkutano wao unatarajiwa ''kuimarisha ushirikiano wa usalama, kuimarisha ushirikiano wa biashara, na uhusiano wa kidiplomasia," kulingana na shirika la habari la serikali ya Somalia, SONNA.
-
1 month ago |
trtafrika.com | Coletta Wanjohi
Rwanda imelalamika vikali kuhusu vikwazo vilivyotangazwa na Serikali ya Uingereza katika kukabiliana na mzozo wa mashariki mwa DRC. " Vikwazo vilivyotangazwa leo na serikali ya Uingereza katika kukabiliana na mzozo wa mashariki mwa DRC - ambapo sasa Uingereza inaegemea upande mmoja - havifai," Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda ilisema katika taarifa.
-
1 month ago |
trtafrika.com | Coletta Wanjohi
Rwanda imelalamika vikali kuhusu vikwazo vilivyotangazwa na Serikali ya Uingereza katika kukabiliana na mzozo wa mashariki mwa DRC. " Vikwazo vilivyotangazwa leo na serikali ya Uingereza katika kukabiliana na mzozo wa mashariki mwa DRC - ambapo sasa Uingereza inaegemea upande mmoja - havifai," Wizara ya Mambo ya Nje ya Rwanda ilisema katika taarifa.
TRT Afrika journalists
Contact details
Address
123 Example Street
City, Country 12345
Phone
+1 (555) 123-4567
Contact Forms
Contact Form
Website
https://www.trtafrika.com/Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →