
Bakari Kiango
Articles
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Bakari Kiango |Juma Issihaka
Muktasari:Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), vyama vya siasa na Serikali kesho Aprili 12, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2025. Dar es Salaam. Tusaini au tusisaini? ndilo swali lisilo na jawabu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa sasa, kuhusu ushiriki wake katika kujadili na kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kesho Aprili 12, 2025.
-
2 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Bakari Kiango |Juma Issihaka
Muktasari:Viongozi wa Chadema wapo katika mikoa ya kusini kwa ziara ya siku sita kutoa elimu kuhusu ajenda ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi, inayolenga kushinikiza Serikali kufanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na yasipotekelezeka, wameazimia kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Dar es Salaam.
-
2 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Bakari Kiango |Juma Issihaka
“Kazini kwa wabunge wa majimbo 10 mkoani Tanga kuna kazi”, ndiyo lugha nyepesi inayoweza kutumika kutafsiri mtifuano na kivumbi cha kuusaka ubunge kinachoendelea katika mkoa huo. Kivumbi hicho, kinatajwa kukaribia kuweka rehani ubunge wa baadhi ya wabunge maarufu na waliowahi kushika wizara nyeti ndani ya Serikali, kutokana na kuibuka washindani wenye nguvu ya fedha na ushawishi wakinyatia majimbo hayo.
-
2 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka |Bakari Kiango
Muktasari:Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ametengua uteuzi wa Catherine Ruge aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti na mtaalamu wa Dawati la Jinsia. Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha) kupitia chombo maalumu (caucus) kilichoundwa kutatua migogoro limeanza mchakato wa maridhiano kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi ndani ya chama hicho.
-
2 weeks ago |
thecitizen.co.tz | Bakari Kiango |Juma Issihaka
Dar es Salaam. Internal divisions are surfacing within the opposition party Chadema as the "No Reforms, No Election" campaign continues in the Southern Zone, following its conclusion in the Nyasa Zone. Some members and leaders within the party have voiced their opposition to this stance, despite its official endorsement by the party's senior leadership.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →