Juma Issihaka's profile photo

Juma Issihaka

Dar es Salaam

Tanzania Investigative Journalist at Mwananchi

Tanzania Investigative Journalist/ Awarded as the Excellent Journalist in Investigative Reporting Tanzania https://t.co/dawLwCLtgo

Articles

  • 1 week ago | mwananchi.co.tz | Juma Issihaka

    Muktasari: Mwanza inachangia asilimia 7.2 ya Pato la Taifa (GDP), ikiwa katika nafasi ya pili baada ya Dar es Salaam, inayochangia asilimia 14. Mwanza. Licha ya kuwa mkoa wa pili kwa kuchangia pato la Taifa (GDP) kwa asilimia 7.2, nyuma ya Dar es Salaam inayoongoza kwa asilimia 14, Serikali imeweka mkakati mahsusi wa kuufanya Mkoa wa Mwanza kuwa kinara wa uchumi nchini.

  • 1 week ago | mwananchi.co.tz | Juma Issihaka

    Muktasari: Kuzinduliwa kwa daraja hilo, kunafungua fursa ya kuanza kutumika na Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyeongoza ruhusa ya magari kupita katika daraja hilo Mwanza. Sasa ni rasmi, ndiyo maneno unayoweza kuyatumia unapoelezea hatua ya Serikali ya Tanzania kukamilisha na kuzindua Daraja la John Pombe Magufuli, lililoanza kutekelezwa Februari 2020.

  • 1 week ago | mwananchi.co.tz | Juma Issihaka

    Muktasari: Leo Alhamisi, ndiyo siku ya uzinduzi rasmi wa Daraja la JP Magufuli, katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza utafanywa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mwanza. Achana na wanaokimbia mchaka mchaka kutoka huku kwenda kule, wanaocheza muziki, wanaoimba nyimbo za kizalendo mithiri ya vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kitakachokuacha hoi ni idadi ya watu waliofurika eneo la mkutano kusubiri neno la uzinduzi wa Daraja la JP Magufuli.

  • 1 week ago | mwananchi.co.tz | Juma Issihaka

    Muktasari: Daraja la JPM lina urefu wa kilomita 3.2 na limegharimu Sh716.3 bilioni zilizotolewa na Serikali, na linatajwa kuwa ufunguo wa uchumi wa Mwanza na maeneo ya jirani. Mwanza. Yalianza matarajio, ikafuata mipango, kisha mikakati na utekelezaji, hatimaye, Daraja la Kigongo-Busisi maarufu daraja la JPM limekamilika na kesho litaanza rasmi kutumika.

  • 1 week ago | mwananchi.co.tz | Juma Issihaka

    Muktasari: Baada ya kukamilika kwa Daraja la JP Magufuli, Serikali inatarajia kupeleka vivuko vinavyotumika katika eneo la Kigongo-Busisi katika visiwa vya Kome na Ukerewe, ili kupunguza adha ya uhaba wa vivuko kwa wakazi wa maeneo hayo. Mwanza. Ukiacha sifa ya kuwa daraja refu zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Daraja la JP Magufuli ni matumaini mapya ya kurahisishwa kwa shughuli za usafiri na usafirishaji kwa wakazi wengi wa visiwa vya Ziwa Victoria.

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial β†’

Coverage map

X (formerly Twitter)

Followers
10K
Tweets
3K
DMs Open
Yes
Juma Issihaka
Juma Issihaka @jayissihaka
9 Apr 25

Napenda @awamisammy anavyojibu hoja hasi dhidi ya media. Ni bahati mbaya wengine wamechagua kutomuelewa, lakini kila anachoeleza ni halisia. Chama, mtu binafsi na taasisi isitarajie iingie kwenye mgogoro kisha media iwe msuluhishi. Kwa sababu ni mgogoro media itaripoti kilichopo

Juma Issihaka
Juma Issihaka @jayissihaka
19 Jan 25

Dr. Nchimbi is the right man for this run kwa experience ya siasa na ukomavu wa kiuongozi ndani ya chama chake. Lakini kwanini ni mapema hivi? Stay curious soon nitakuandikia kwa @MwananchiNews platforms

Juma Issihaka
Juma Issihaka @jayissihaka
17 Jan 25

Those what we're witnessing kwa CDM, ni matokeo ya ukweli kwamba, si utamaduni wa siasa za Tanzania kuona ushindani wa ndani ya vyama. Ikitokea ndio tunashuhudia huyu anamwaga mboga huyu anamwaga ugali. Tukiuona umoja baada ya uchaguzi CDM kitakuwa chama cha mfano Afrika.