
Benson Matheka
Articles
-
5 days ago |
taifaleo.nation.co.ke | Benson Matheka |Rushdie Oudia
Uncategorized Orengo, Nyong’o wakosa mazishi ya Were tofauti zao na Raila zikipanuka Na BENSON MATHEKA, RUSHDIE OUDIA May 10th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MAGAVANA James Orengo (Siaya) na Anyang’ Nyong’o (Kisumu) jana walikosa kuhudhuria mazishi ya marehemu mbunge wa Kasipul, Charles Were hatua ambayo imezua tetesi kuhusu uhusiano wao na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ambaye alihudhuria.
-
5 days ago |
taifaleo.nation.co.ke | Benson Matheka |Rushdie Oudia
Habari za Kitaifa Orengo, Nyong’o wakosa mazishi ya Were tofauti zao na Raila zikipanuka Na BENSON MATHEKA, RUSHDIE OUDIA May 10th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MAGAVANA James Orengo (Siaya) na Anyang’ Nyong’o (Kisumu) jana walikosa kuhudhuria mazishi ya marehemu mbunge wa Kasipul, Charles Were hatua ambayo imezua tetesi kuhusu uhusiano wao na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ambaye alihudhuria.
-
6 days ago |
taifaleo.nation.co.ke | Benson Matheka |Shaban Makokha
KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga amejipata kona mbaya kufuatia kauli yake ya kutaka Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneobunge (NG-CDF) ihamishwe kwa serikali za kaunti. Wabunge na wananchi wameungana kuunga hazina hiyo kukitwa katika Katiba chini ya usimamizi wa Wabunge. Katika vikao vya kukusanya maoni kuhusu mswada unaolenga kukita hazina hiyo katika katiba, wabunge walimkosoa vikali Bw Odinga kwa kutaka pesa hizo ziwekwe chini ya magavana.
-
2 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Moses Nyamori |Benson Matheka
Habari za Kitaifa Matiang’i aungana na Kalonzo, Gachagua, Karua na wengine kusuka muungano Na MOSES NYAMORI, BENSON MATHEKA April 29th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 VIGOGO wa upinzani walikutana jana asubuhi katika kile kinachooneka kuwa kusuka mikakati ya kuunda muungano imara wa kumpinga Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027.
-
3 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | David Mwere |Benson Matheka
Makala Mikakati ya serikali kutumia machifu, wazee wa vijiji kuipiga jeki mashinani Na DAVID MWERE, BENSON MATHEKA April 20th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 SERIKALI ya Kenya Kwanza imejipanga kutumia wazee wa vijiji kama sehemu ya mikakati yake ya kufufua umaarufu wake kuanzia vijijini. Hii inafuatia hatua yake ya kuingiza wazee wa vijiji katika mfumo rasmi wa utawala kupitia Rasimu ya Sera ya Utawala wa Vijiji.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →