
Justus Javan Ochieng
Journalist
Articles
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng
MPANGILIO mpya wa serikali uliotangazwa katika Agizo la Rais Nambari moja la mwaka 2025, umebadilisha kimya kimya mwelekeo wa madaraka, ukiongeza ushawishi katika ofisi mpya huku ukipunguza nguvu za zingine. Msingi wa muundo huu mpya ni ugawaji wa kimkakati wa majukumu na rasilmali ambao unaongeza hadhi za idara muhimu. Uchanganuzi wa karibu wa agizo hilo unaonyesha kuibuka kwa vituo vipya vya madaraka, hasa katika ofisi za Mkuu wa Mawaziri, Naibu Rais, na baadhi ya wizara za kimkakati.
-
3 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng
Habari Wanasiasa sasa wang’ang’ania Gen Z wakiunda nafasi za kujikimu Na JUSTUS OCHIENG June 4th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MNG’ANG’ANIO wa kura za vijana wa Gen Z kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 umeshika kasi huku serikali ikianzisha mpango mwingine wa kuwawezesha vijana ili kuimarisha maisha yao.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng
ENEO la Mlima Kenya, ambalo lilikuwa ngome ya kisiasa iliyoungana na kutoa mwelekeo thabiti wa kura katika uchaguzi wa urais, sasa linakabiliwa na mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kushuhudiwa, kwa hisani ya ujanja wa kisiasa wa Rais William Ruto.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng
MGAWANYIKO katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinachoongozwa na Raila Odinga unaendelea kupanuka huku ripoti zikieleza kuhusu mpango wa siri wa Serikali kumzima Gavana wa Siaya, James Orengo, katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 kutokana na msimamo wake dhidi ya serikali Jumuishi. Inadaiwa kuwa mpango huu unahusisha wapangaji mikakati wa ngazi za juu ndani ya Serikali Jumuishi, ukilenga kumzima kisiasa wakili huyo kwa sababu ya kuikosoa vikali.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng
Vendors can use your data to provide services. Declining a vendor can stop them from using the data you shared. Exponential Interactive, Inc d/b/a VDX.tvCookie duration: 90 (days). Data collected and processed: IP addresses, Device identifiers, Probabilistic identifiers, Browsing and interaction data, Non-precise location data, Users’ profiles, Privacy choicesmoreCookie duration resets each session. View details | Storage details | Privacy policyConsentRoq.ad GmbHCookie duration: 365 (days).
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →X (formerly Twitter)
- Followers
- 356
- Tweets
- 84
- DMs Open
- No