
Cecil Odongo
Articles
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Daniel Ogetta |Cecil Odongo
MAGENGE hatari jana yaliteka jiji la Nairobi na kuwakabili waandamanaji waliokuwa wakishinikiza kujiuzulu kwa Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat kutokana na mauaji ya kinyama ya mwalimu na bloga Albert Ojwang’. Katika kile ambacho kimezidisha ghadhabu miongoni mwa Wakenya, polisi mmoja alimpiga risasi kichwani mwanaume aliyekuwa akiuza barakoa karibu na Jumba la Imenti, barabara ya Moi Avenue.
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | George Munene |Cecil Odongo
Habari za Kitaifa Gachagua, makanisa wamtaka Lagat aache kung’ang’ania kiti Na GEORGE MUNENE, CECIL ODONGO June 16th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua Jumapili alimtaka Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat abebe msalaba wake kuhusiana na mauaji ya mwalimu na bloga Albert Ojwang. Bw Gachagua alisema Bw Lagat anastahili kuchunguzwa, akamatwe na ashtakiwe, akisema kuuawa kwa Bw Ojwang ni ukosefu wa utu kwa thamani ya maisha ya binadamu.
-
1 month ago |
nation.africa | Cecil Odongo |Geoffrey Anene
Is he too old and seeking match fitness through the national team? Or will Victor Mugubi Wanyama roar again in Harambee Stars colours? These are the burning questions among Kenyan football fans following the return of the veteran midfielder Victor, four years after his last appearance. His return has certainly sparked mixed reactions.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Moses Nyamori |Cecil Odongo
KINARA wa Mawaziri, Musalia Mudavadi, ameonya wakazi wa ukanda wa Mlima Kenya kuwa watapoteza wadhifa wa naibu rais ambao sasa unashikiliwa na Profesa Kithure Kindiki iwapo watamtoroka Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu wa 2027. Bw Mudavadi amewataka wakazi wa eneo hilo waendelee kuunga mkono utawala wa Rais Ruto kwa sababu wanazidi kunufaika na miradi ya utawala wa Kenya Kwanza.
-
1 month ago |
nation.africa | Victor Otieno |Cecil Odongo
Just who will have the last laugh?This is the big question as fourth-placed Shabana FC host reigning champions and third-placed Gor Mahia in a high-stakes Football Kenya Federation Premier League (FKF-PL) match at Gusii Stadium in Kisii County from 2pm today. Throughout the week, fans of both teams have been engaging in soft banter online as to who will win the highly-anticipated clash. The winner of the match will increase their title chances in the closely contested league.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →