
Articles
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Geoffrey Anene
Michezo Kenya Lionesses waanza Krakow Challenger Series kwa kurarua Ubelgiji Na GEOFFREY ANENE April 11th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 KENYA Lionesses wameanza vyema duru ya mwisho ya msimu wa kawaida ya raga za saba kila upande za Challenger Series baada ya kurarua Ubelgiji 12-0 mjini Krakow nchini Poland mnamo Ijumaa, Aprili 11, 2025. Sinaida Nyachio alifungia Kenya alama zake zote katika mechi hiyo ya Kundi A.
-
2 weeks ago |
nation.africa | Geoffrey Anene
What you need to know:The first-born from a family of four children is a top volleyball player at Equity Bank Volleyball ClubIn 2023, Bethoven enrolled in a programme at Centurion Systems Limited where he advanced his skills in Industrial AutomationBethoven has played volleyball since 2011 after ditching football and rugby When did you develop an interest in this sport? My journey began in 2011 after watching my school team play.
-
2 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Geoffrey Anene
Dimba Wawaniaji wa tuzo ya SOYA wanawake ni wanariadha pekee, hakuna Okutoyi Na GEOFFREY ANENE April 10th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 VITA vya kuibuka mwanamichezo bora mwanamke kwenye tuzo za kifahari za SOYA mwaka 2024 vitahusu wanariadha pekee yake – Faith Cherotich, Hellen Obiri, Beatrice Chebet, Faith Kipyegon na Ruth Chepngetich. Orodha ya wawaniaji hao ilitangazwa Jumatano.
-
2 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Geoffrey Anene
Michezo Mourinho naye pia ajumuishwa katika wanaoweza kuwa kocha mkuu wa Brazil Na GEOFFREY ANENE April 8th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 JOSE Mourinho anaaminika kuwa katika orodha ya makocha wa timu ya taifa ya Brazil ambaye inaangalia kujaza nafasi ya kocha mkuu baada ya Dorival Junior kutimuliwa mnamo Machi 28, 2025.
-
2 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Geoffrey Anene
Michezo Arsenal yapewa asilimia kubwa kushinda Klabu Bingwa Ulaya kuliko Real Madrid Na GEOFFREY ANENE April 7th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 ARSENAL wana asilimia kubwa ya kushinda Klabu Bingwa Ulaya 2024-2025 kuliko mabingwa watetezi Real Madrid. Ubashiri wa hivi punde wa kompyuta maalum ya Opta umejumuisha wanabunduki miongoni mwa timu zilizo na asilimia zaidi ya 10 ya kushinda mashindano hayo ya haiba.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →