Fatuma Bariki's profile photo

Fatuma Bariki

Articles

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Geoffrey Anene |Fatuma Bariki

    Michezo Okutoyi atinga nusu-fainali ya mashindano ya tenisi ya malipo Na GEOFFREY ANENE June 20th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 Nyota Angella Okutoyi ametinga nusu-fainali ya mashindano ya tenisi ya malipo ya wanawake ya W15 Bolszewo baada ya kuzidia maarifa Emilija Tverijonaite kutoka Lithuania kwa seti mbili bila jibu katika robo-fainali ya mchezaji mmoja kila upande nchini Poland mnamo Ijumaa, Juni 20, 2025.

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Abdulrahman Sheriff |Fatuma Bariki

    Dimba Aliyekuwa refarii wa Fifa Said Ali aaga dunia Na ABDULRAHMAN SHERIFF June 19th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 UMATI wa wanaspoti ulihudhuria mazishi ya aliyekuwa refarii wa kimataifa (Fifa), Said Ali aliyeaga dunia mjini Mombasa Jumatano na kuzikwa katika makaburi ya Waislamu ya Tangana siku hiyo. Marehemu Ali, mmoja wa waliokuwa waamuzi wachache waliomiliki beji ya Fifa kutoka Kanda ya Pwani aliaga dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza (stroke).

  • 3 weeks ago | taifaleo.nation.co.ke | Winnie Onyando |Fatuma Bariki

    RAIS wa Bunge la Mwananchi, Francis Awino, amezindua vuguvugu la Kenya Moja Coalition analosema linalenga kuwaunganisha Wakenya. Akizungumza Ijumaa Juni 6, 2025 wakati wa uzinduzi huo, Bw Awino alisema kuwa vuguvugu hilo linalenga kuwaunganisha Wakenya wote bila kujali kabila, rika au eneo wanakotoka. Kauli mbiu yake ikiwa ni “Maendeleo Bila Ubaguzi”, vuguvugu hilo linalenga kuleta mshikamano wa kitaifa, kurejesha usawa na kuleta maendeleo jumuishi.

  • 3 weeks ago | taifaleo.nation.co.ke | Rushdie Oudia |Fatuma Bariki

    Habari Raila ataka Ruto alipe familia za Gen Z waliouawa ili nchi isonge mbele Na RUSHDIE OUDIA June 1st, 2025 Kusoma ni dakika: 1 WAZIRI Mkuu wa zamani Raila Odinga ametaka serikali ya Rais William Ruto ilipe familia za waliouawa na kuheruhiwa wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana ili taifa liweze kusahau na kusonga mbele.

  • 1 month ago | taifaleo.nation.co.ke | Richard Munguti |Fatuma Bariki

    Habari Oyamo aomba aondolewe lawama ya kumuuwa Sharon Na RICHARD MUNGUTI May 24th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MICHAEL Oyamo, mshukiwa wa pili katika mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno miaka minane iliyopita alikamilisha tetezi zake huku akiomba mahakama kuu imwondolee lawama. Sharon aliuawa pamoja na mtoto wake aliyekuwa kuzaliwa kwa kudungwa kwenye kitovu na fito ya chuma kikatokea upande wa mgongo. Walikufa papo hapo.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →