
Iddi Ssessanga
Articles
-
1 week ago |
dw.com | Jennifer Holleis |Iddi Ssessanga
15.04.202515 Aprili 2025Mgogoro kati ya majenerali wawili umeitumbukiza Sudan katika vita ambavyo havionekani kumalizika hivi karibuni, huku raia wakikabiliwa na njaa, ghasia, na mamilioni wakitegemea msaada wa kibinadamu ili kuendelea kuishi. https://p.dw.com/p/4t8MAKatika kipindi cha miaka miwili iliyopita, Sudan imeingia kwenye hali mbaya sana baada ya vita kuzuka kati ya Jeshi la Kitaifa (SAF) na kundi la wanamgambo wa RSF.
-
1 month ago |
dw.com | Sabine Kinkartz |Iddi Ssessanga
10.03.202510 Machi 2025Serikali ya Ujerumani inapanga kupitisha mpango mkubwa wa matumizi kwa ajili ya jeshi na miundombinu, ikiwa ni pamoja na kufuta kikwazo cha deni kwa matumizi ya ulinzi. Hatua hiyo inaweza kuwa suluhu ya kiuchumi? https://p.dw.com/p/4raRqSerikali ya Ujerumani, inayotazamiwa kuongozwa na vyama vya CDU/CSU na SPD, inapanga kutumia mabilioni ya euro kuboresha jeshi la Bundeswehr na miundombinu ya taifa.
-
2 months ago |
dw.com | Sabine Kinkartz |Nina Werkhäuser |Iddi Ssessanga
Muungano wa kihafidhina wa CDU na CSU umefanikiwa kuwa chama chenye nguvu zaidi na kutoa Kansela ajaye. "Tumeshinda uchaguzi huu wa Bunge la Ujerumani 2025," alisema kwa furaha Friedrich Merz, mgombea wa ukansela wa CDU, usiku wa uchaguzi mjini Berlin. Hata hivyo, furaha haikuwa kubwa sana ndani ya CDU, kwani matokeo hayakufikia matarajio yao. Walitarajia "asilimia 30 au zaidi," lakini walipata takriban asilimia 28 ya kura, kiwango ambacho hakitoshi kuunda serikali peke yao.
-
2 months ago |
dw.com | Christoph Strack |Iddi Ssessanga
23.02.202523 Februari 2025Kiongozi wa CDU, Friedrich Merz ana historia mchanganyiko katika siasa za Ujerumani - kuanzia kumkosoa Angela Merkel, kustafu na kuingia katika sekta ya biashara, hadi utata wa kukijongelea chama cha siasa kali cha AfD. https://p.dw.com/p/4qjQlFriedrich Merz, mwenyekiti wa chama cha kihafidhina cha Christian Democratic Union (CDU), anatarajiwa kuwa Kansela ajaye wa Ujerumani kulingana na makadirio ya uchaguzi mkuu wa Ujerumani uliofanyika Februari 23.
-
2 months ago |
dw.com | Christoph Strack |Iddi Ssessanga
Friedrich Merz, kiongozi wa chama cha Christian Democratic Union (CDU) na mkuu wa wabunge wa muungano wa CDU/CSU katika Bundestag, anatajwa kuwa mgombea mwenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda kiti cha kansela wa Ujerumani. Merz alirejea bungeni mwaka 2021 baada ya mapumziko ya miaka kumi na miwili na sasa anawania nafasi hiyo ili kumrithi Olaf Scholz wa SPD.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →