Mwananchi
Mwananchi is the top Swahili daily newspaper in Tanzania, known for its reliability and comprehensive coverage of various topics relevant to life in the country. It boasts a readership of more than 2 million people each day, reaching all major urban areas. With a daily circulation of between 50,000 and 60,000 copies, Mwananchi stands out as the most trusted and widely read Swahili newspaper in Tanzania.
Outlet metrics
Global
#152823
Tanzania, United Republic of
#106
Category
N/A
Articles
-
4 days ago |
mwananchi.co.tz | Beatrice Materu
Muktasari: Siku za hivi karibuni, msanii wa muziki nchini Zee Cuty na nyota wa muziki wa pop kutoka Canada, Justin Bieber waliteka mitandao ya kijamii kwa mijadala kuhusu changamoto za afya ya akili zinazowakabili. Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni, msanii wa muziki nchini Zee Cuty na nyota wa muziki wa pop kutoka Canada, Justin Bieber waliteka mitandao ya kijamii kwa mijadala kuhusu changamoto za afya ya akili zinazowakabili.
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka
Muktasari: Mwanza inachangia asilimia 7.2 ya Pato la Taifa (GDP), ikiwa katika nafasi ya pili baada ya Dar es Salaam, inayochangia asilimia 14. Mwanza. Licha ya kuwa mkoa wa pili kwa kuchangia pato la Taifa (GDP) kwa asilimia 7.2, nyuma ya Dar es Salaam inayoongoza kwa asilimia 14, Serikali imeweka mkakati mahsusi wa kuufanya Mkoa wa Mwanza kuwa kinara wa uchumi nchini.
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka
Muktasari: Kuzinduliwa kwa daraja hilo, kunafungua fursa ya kuanza kutumika na Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyeongoza ruhusa ya magari kupita katika daraja hilo Mwanza. Sasa ni rasmi, ndiyo maneno unayoweza kuyatumia unapoelezea hatua ya Serikali ya Tanzania kukamilisha na kuzindua Daraja la John Pombe Magufuli, lililoanza kutekelezwa Februari 2020.
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka
Muktasari: Leo Alhamisi, ndiyo siku ya uzinduzi rasmi wa Daraja la JP Magufuli, katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza utafanywa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mwanza. Achana na wanaokimbia mchaka mchaka kutoka huku kwenda kule, wanaocheza muziki, wanaoimba nyimbo za kizalendo mithiri ya vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kitakachokuacha hoi ni idadi ya watu waliofurika eneo la mkutano kusubiri neno la uzinduzi wa Daraja la JP Magufuli.
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka
Muktasari: Daraja la JPM lina urefu wa kilomita 3.2 na limegharimu Sh716.3 bilioni zilizotolewa na Serikali, na linatajwa kuwa ufunguo wa uchumi wa Mwanza na maeneo ya jirani. Mwanza. Yalianza matarajio, ikafuata mipango, kisha mikakati na utekelezaji, hatimaye, Daraja la Kigongo-Busisi maarufu daraja la JPM limekamilika na kesho litaanza rasmi kutumika.
Mwananchi journalists
Contact details
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →