Articles

  • 3 weeks ago | mwananchi.co.tz | Peter Saramba

    Muktasari:Miongoni mwa sababu hizo ni kushinda uchaguzi na kuongoza Serikali Mwanza. Naibu Katibu Mkuu wa Chaumma, Benson Kigaila ametaja sababu tatu za chama hicho kuamua kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu, ikiwamo kukikabili Chama cha Mapinduzi (CCM). Akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza leo Jumanne Juni 3, 2025, Kigaila ametaja sababu ya kwanza kuwa ni kushinda uchaguzi na kuongoza Serikali, akisema hilo ndilo lengo la chama chochote cha siasa.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Peter Saramba

    Muktasari:Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane iliyopewa jina hilo kumuenzi mwanzishi wake, Mzee Saanane Chawandi, ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 2.18; na ndiyo pekee kati ya hifadhi 21 nchini inayopatikana katikati ya mji. Hifadhi hiyo iko Kusini Magharibi mwa Jiji la Mwanza na ilianzishwa mwaka 2023. Mwanza.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Peter Saramba |Saada Amir

    Muktasari:Miongoni mwa mikoa ambako vitendo vya utoroshaji wa madini vimeripotiwa ni pamoja na Geita, Ruvuma, Kahama, Mwanza, Manyara, Shinyanga, Kagera, Dar es Salaam, Simiyu, Singida, Chunya, Arusha, na Lindi. Mwanza. ‘’Serikali ina mkono mrefu’’ Huo ndio usemi unaofaa kutumika kueleza jinsi Serikali inavyong’ámua na kudhibiti mbinu kutorosha madini nje ya nchi.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Peter Saramba

    Mwanza. Swali kuu linalogonga vichwa vya wengi kuanzia ndani na nje ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ni je, yanayotokea yanakiua au yanakiimarisha? Swali hilo linatokana na misukosuko inayoendelea kutokea ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Peter Saramba

    Muktasari:Makamu Mwenyekiti wa Chadema - Bara, John Heche ameita kikao cha kamati kuu Jumatano ya Mei 21, 2025 jijini Dar es Salaam ambapo mambo sita yanatarajiwa kujadiliwa. Kakola. Mambo sita likiwemo la makada na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia (Chadema) kujivua uanachama mfululizo zinatarajia kutawala katika kikao cha kamati kuu ya chama hicho Mei 21, 2025 jijini Dar es Salaam.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →

Coverage map