-
1 month ago |
mwananchi.co.tz | Sute Kamwelwe |Juma Issihaka
Muktasari:Maisha ya duniani ya Profesa Philemon Sarungi yataendelea kukumbukwa katika mioyo ya watu hata baada ya kufariki kwake. Dar es Salaam.
-
1 month ago |
thecitizen.co.tz | Sute Kamwelwe |Juma Issihaka
Dar es Salaam. Tanzanian activist Maria Sarungi and her siblings, Martin and Emöke, paid tribute to their father from abroad through recorded voice messages. The late Prof Philemon Sarungi, a renowned orthopaedic surgeon, Member of Parliament, former Cabinet minister, and regional commissioner, passed away last week at the age of 88.
-
1 month ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka |Sute Kamwelwe
Muktasari:Kutokana na kuwa ughaibuni, baadhi ya watoto wa Profesa Philemon Sarungi wameshindwa kuhudhuria mazishi ya baba yao. Maria ataja sababu za kiusalama. Dar es Salaam. Maria Sarungi na watoto wengine wawili wa Profesa Philemon Sarungi wameomboleza msiba wa baba yao wakiwa ughaibuni, baada ya kushindwa kuhudhuria mazishi yake nchini Tanzania.
-
1 month ago |
thecitizen.co.tz | Sute Kamwelwe |Juma Issihaka
Dar es Salaam. Former and current government officials, political leaders, medical professionals, and mourners have gathered at Karimjee Grounds in Dar es Salaam to pay their final respects to Prof Philemon Sarungi, a distinguished orthopaedic surgeon, politician, and former minister.
-
1 month ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka |Sute Kamwelwe
Muktasari:Makundi mbalimbali ya wananchi na viongozi wastaafu yameanza kuwasili katika Uwanja wa Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Profesa Philemon Sarungi. Dar es Salaam. Viongozi wastaafu wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio waliofika hadi sasa katika Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa daktari, mwanasiasa, na waziri wa zamani, Profesa Philemon Sarungi.
-
Jan 16, 2025 |
mwananchi.co.tz | Sute Kamwelwe
Muktasari:Ujuzi wa mawasiliano, kujiamini, kuongea, kuandaa mapendekezo na kufundishwa bure kwa wanafunzi wa vyuo kikuu vinne nchini. Dar es Salaam. Katika kuendana na soko la ajira linalohitaji rasilimali watu wenye ujuzi wa kisasa ikiwemo teknolojia, mradi mahususi wa kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu umeanzishwa, ili kuwawezesha kushindana kwenye soko hilo.
-
Jan 14, 2025 |
mwananchi.co.tz | Sute Kamwelwe
Muktasari:Wawekezaji hao wapo nchini huku thamani ya uwekezaji wa kampuni za Kijapan kwa miaka 12 iliyopita umefikia Dola 11.4 milioni za Marekani (Sh28.8 bilioni) kwenye miradi 24 iliyosajiliwa katika Kituo cha Uwekezaji (TIC), huku zikizalisha ajira zaidi ya 1000 Dar es Salaam. Kampuni 20 za uwekezaji kutoka nchini Japan zimekuja Tanzania kuangalia fursa za uwekezaji katika maeneo ya kilimo, utalii na sekta ya uzalishaji viwandani ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
-
Jan 14, 2025 |
thecitizen.co.tz | Sute Kamwelwe
What you need to know:The challenges that led to the erasure of details on some IDs have been solved and that ID card holders should collect them without additional any charges Dar es Salaam. The minister for Home Affairs, Innocent Bashungwa, has directed the National Identification Authority (NIDA) to reproduce approximately 31,000 national identity cards whose details were erased due to technical issues.
-
Jan 13, 2025 |
mwananchi.co.tz | Sute Kamwelwe
Muktasari:Vitambulisho hivyo vitazalishwa upya na kwa wakati na vitagawiwa upya bila mtu kutozwa gharama yoyote. Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema alishatoa maagizo kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), kutengeneza upya vitambulisho takribani 31,000 vilivyofutika taarifa zake. Waziri huyo amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusiana na ubora hafifu wa vitambulisho hivyo na kuagiza vitengenezwe upya.
-
Jan 12, 2025 |
mwananchi.co.tz | Sute Kamwelwe
Muktasari:Kwa wale waliowahi kutapeliwa ni dhahiri walikubali kwa namna moja ama nyingine kutoa taarifa zao binafsi, ikiwemo kuingiza nywila katika vyanzo visivyotambulika wakati mwingine kwa kulaghaiwa hadi kupoteza pesa. Dar es Salaam. Moja ya mbinu za kujilinda dhidi ya wizi na utapeli unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kutojibu maelekezo wala kutoa taarifa binafsi za mtumiaji kwa mtu ama chanzo asichokifahamu.