
Articles
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Winnie Onyando
Makala Maswali tele kuhusu wahuni waliovuruga maandamanao ya Jumanne Na WINNIE ONYANDO June 18th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 DIWANI wa Nairobi Kusini, Waithera Chege, ameibua maswali kufuatia vurugu zilizotokea Jumanne Juni 17, 2025 wakati wa maandamano ya amani ya kudai haki kwa waathiriwa wa ukatili wa polisi.
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Winnie Onyando
Makala Shinikizo zaidi Lagat ajiuzulu Na WINNIE ONYANDO June 17th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 HATA baada ya Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat kujiondoa kwa muda afisini ili kutoa nafasi kwa uchunguzi unaoendelea kuhusu kifo cha mwalimu-bloga Albert Ojwang, mamia Juni 17, 2025 walijitokeza wakishinikiza ajiuzulu. Maandamano hayo yaliyoanza kwa amani mwendo wa saa nne yaligeuka kuwa ya vurugu n ahata kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyepigwa risasi kichwani.
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Winnie Onyando
Habari Magenge yapora watu CBD Nairobi Na WINNIE ONYANDO June 17th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 MAGENGE ya watu waliobeba visu na marungu Jumanne Juni 17, 2025 walivuruga maandamano ya kudai haki kwa waathiriwa wa ukatili wa polisi na kupora wakazi katikati mwa jiji la Nairobi. Watu hao walikuwa wamebeba marungu na visu wakitishia watu na kuwaibia. Haijulikana watu hao wanafadhiliwa na nani.
-
1 week ago |
taifaleo.nation.co.ke | Winnie Onyando
Habari Maandamano yazuka tena Nairobi Na WINNIE ONYANDO June 17th, 2025 Kusoma ni dakika: 1 POLISI Jumanne Juni 17, 2025 walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliojitokeza katikati mwa jiji la Nairobi kudai haki na fidia kwa vijana wa GenZ waliouawa kikatili na polisi. Hii ni baada ya waandamanaji hao kujikusanya nje ya jengo la Nation Center kufanya maombi kabla ya kuanza maandamano yao rasmi.
-
2 weeks ago |
nation.africa | Winnie Onyando
As President William Ruto hits 1,000 days in office, his administration’s efforts towards gender equality reveal a mixed record. While symbolic strides have been made, gaps in implementation and systemic change remain glaring. One of the key policy commitments from his manifesto was the establishment of safe spaces and shelters for survivors of gender-based violence (GBV). He pledged Sh100 million to support GBV survivors, a promise he announced during the 16 Days of Activism against GBV.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →