Baraka Loshilaa's profile photo

Baraka Loshilaa

Articles

  • 3 weeks ago | mwananchi.co.tz | Baraka Loshilaa |Imani (Wema) Makongoro

    Muktasari:Mbatia awaomba wenye mamlaka kuchunga ndimi zao na kuangalia wanachoongea na wanaongea na akina nani na kwa wakati gani ili kuleta taifa pamoja. Dar es Salaam. Wakati waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiachiwa huru na Polisi, taasisi na watu mbalimbali wameendelea kujitokeza kupinga iliyochukuliwa na Serikali ya kufuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Baraka Loshilaa |Imani (Wema) Makongoro

    Muktasari:Kesi ya kwanza ya uhaini inayomhusisha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu ilisikilizwa na kuahirishwa hadi Juni 2, 2025, kutokana na upelelezi kutokamilika. Kesi nyingine ya uchochezi imeanza kusikilizwa. Dar es Salaam.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Imani (Wema) Makongoro |Baraka Loshilaa

    Dar es Salaam. Licha ya matarajio ya wengi kuhisi hekaheka za Jeshi la Polisi zitaongezeka mara dufu katika kuimarisha ulinzi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu ameletwa ambako kesi zake zinaunguruma, hali imekuwa ni tofauti.

  • 1 month ago | thecitizen.co.tz | Baraka Loshilaa |Imani (Wema) Makongoro

    What you need to know:Mr Lissu appeared in court in connection with two cases: one concerning the alleged publication of false information online and another related to treason which has a possible death sentence. Dar es Salaam. Tanzania’s opposition leader Tundu Lissu appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court on Monday May 19, 2025 to face charges of treason and false information publication, after refusing to participate in online hearing for two consecutive sessions.

  • 1 month ago | mwananchi.co.tz | Baraka Loshilaa |Imani (Wema) Makongoro

    Muktasari:Lissu ameingizwa eneo la Mahakama huku mkono wake mmoja ukiwa juu, akionyesha alama ya Chadema kwa kuweka vidole viwili juu. Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndani ya gari aina ya Land Cruiser nyeupe ya Jeshi la Magereza. Lissu amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu, Mei 19, 2025 saa 2:53 asubuhi na kutumia dakika tatu ndani ya gari kabla ya kushushwa.

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →