
Articles
-
2 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Imani (Wema) Makongoro
Muktasari:Huo ni uchaguzi wa pili wa kihistoria wa Shirikisho hilo baada ya ule wa Oktoba 4, 2023 uliowaweka Amir na Ndembo madarakani Dar es Salaam. Rajab Abdallah Amir ametetea nafasi ya rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) 2025 kwa kupata kura 20 za ndiyo huku mbili zikiharibika.
-
3 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Baraka Loshilaa |Imani (Wema) Makongoro
Muktasari:Mbatia awaomba wenye mamlaka kuchunga ndimi zao na kuangalia wanachoongea na wanaongea na akina nani na kwa wakati gani ili kuleta taifa pamoja. Dar es Salaam. Wakati waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiachiwa huru na Polisi, taasisi na watu mbalimbali wameendelea kujitokeza kupinga iliyochukuliwa na Serikali ya kufuta kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
-
3 weeks ago |
thecitizen.co.tz | Imani (Wema) Makongoro
Dar es Salaam. Prominent lawyer Peter Kibatala has clarified public speculation regarding the whereabouts of Kawe MP and church leader Bishop Josephat Gwajima. His location has remained uncertain since police surrounded his church in Ubungo, Dar es Salaam, on June 2. Speaking to The Citizen’s sister newspaper Mwananchi on Wednesday, June 4, Mr Kibatala said Bishop Gwajima had not been arrested and was in a safe location. “My client is not in custody.
-
3 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Imani (Wema) Makongoro
Muktasari:Waumini walioachiwa ni miongoni mwa wale waliokamatwa wakati polisi walipoingilia kati ibada na kutoa agizo la kusitisha shughuli za kanisa hilo, ambalo tayari lilikuwa limefutiwa usajili na Serikali. Dar es Salaam. Waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, wameachiwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda wakituhumiwa kukiuka maagizo ya Serikali.
-
3 weeks ago |
mwananchi.co.tz | Imani (Wema) Makongoro
Dar es Salaam. Wakili, Peter Kibatala ameeleza alipo Askofu Josephat Gwajima ambaye tangu usiku wa kuamkia Juni 3, 2025, Jeshi la Polisi lilipovamia kanisani kwake Ubungo, Dar es Salaam, hajaonekana. Askofu Gwajima mara ya mwisho alionekana akiwa kanisani hapo jioni ya Juni 2, 2025 ikiwa ni siku ya kwanza ya maombi pamoja na kufunga yaliyopangwa kufanyika kwa siku saba. Hata hivyo, maombi hayakuweza kuendelea kanisani hapo kufuatia ulinzi wa Polisi waliokuwa wamezingira eneo lote la kanisa.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →