
Labaan Shabaan
Multimedia Journalist at Nation Media Group
Multimedia Journalist, Teacher of Swahili Language, Playful storyteller, Wordsmith
Articles
-
3 weeks ago |
taifaleo.nation.co.ke | Richard Munguti |Fatuma Bariki |Labaan Shabaan
Makala Mahakama yaruhusu watumishi wa umma wauze pombe Na RICHARD MUNGUTI, LABAAN SHABAAN April 20th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 SERIKALI imepata pigo baada ya mahakama kuu kuharamisha marufuku ya kuzuia watumishi wa umma wakiwemo maafisa wa polisi, watumishi katika Halmashauri ya Ukadiriaji Ubora wa Bidhaa (Kebs) na Mamlaka ya Mapato (KRA) kuwezekeza katika biashara ya pombe.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Labaan Shabaan
Makala Wanaoishi karibu na Mto Nairobi wapinga mpango wa kuwahamisha Na LABAAN SHABAAN April 13th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MAELFU ya wakazi wa Nairobi wanaoishi karibu na Mto Nairobi na katika maeneo yaliyo mkabala na vijito vinavyotiririsha maji katika mto huo wako hatarini.
-
1 month ago |
taifaleo.nation.co.ke | Labaan Shabaan
Habari za Kitaifa Wakazi wa Nairobi wanaoishi karibu na mito wapinga mpango wa kuwahamisha Na LABAAN SHABAAN April 12th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MAELFU ya wakazi wa Nairobi wanaoishi karibu na Mto Nairobi na katika maeneo yaliyo mkabala na mito midogo inayotiririsha maji katika mto huo wako kwenye hatari ya kupoteza mali ya thamani ya mamilioni ya pesa.
-
2 months ago |
taifaleo.nation.co.ke | Labaan Shabaan
Makala Murkomen: Mkenya alichokoza Ethiopia ikasababisha Turkana kuvamiwa Na LABAAN SHABAAN February 28th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 WAZIRI wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema mhalifu mmoja aliyevuka mpaka kutoka Kenya hadi Ethiopia ndiye alisababisha mashambulio ya kushtukiza ya wanamgambo wa Daasanach Kaunti ya Turkana Jumapili iliyopita. Zaidi ya wavuvi 20 wa Kenya walivamiwa na kufikia sasa hawajulikani walipo.
-
Jan 27, 2025 |
nation.africa | Labaan Shabaan
It is a hot and sunny afternoon in Kenol, Murang’a County. To escape the intense heat of the sun, the Seeds of Gold team found a cool spot under an orchard, thanks to the efforts of Julius Waweru, a 30-year-old agribusiness management professional and founder of Ukulima Modern Seedlings and Nurseries.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →Coverage map
X (formerly Twitter)
- Followers
- 13K
- Tweets
- 49K
- DMs Open
- Yes