Tuzo Mapunda
Articles
-
1 week ago |
mwananchi.co.tz | Juma Issihaka |Tuzo Mapunda
Muktasari:Hoja ya ukomo wa muda wa vyama vya siasa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani imeibua mjadala kwa wadau wa sheria Dar es Salaam. Kukosekana kipengele kinachoweka ukomo wa muda wa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, kumeibua mjadala kwa wanasheria, wakihoji sheria ipi inayoeleza chama cha siasa lazima kisaini siku inayopangwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

1 month ago |
mwananchi.co.tz | Imani (Wema) Makongoro |Tuzo Mapunda
Muktasari:Anasema hakuanza kuifuatilia na kuipenda timu hiyo juzi wala jana; ni mpenzi wa Yanga tangu utotoni. Ikiwa ulidhani Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu yupo kwenye siasa pekee, unakosea sana. Mwanasiasa huyo anasema yeye ni mpenzi wa michezo kama riadha na tenisi, lakini ni mfuatiliaji mzuri wa soka na hapa Tanzania na ni Yanga kindakindaki. Anasema hakuanza kuifuatilia na kuipenda timu hiyo juzi wala jana; ni mpenzi wa Yanga tangu utotoni.
-
1 month ago |
mwananchi.co.tz | Tuzo Mapunda |Imani (Wema) Makongoro
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeamua kubadili utaratibu wa kuponya majeraha ya viongozi na wanachama wa chama hicho yaliyotokana na uchaguzi mkuu wake uliomalizika Januari 22, 2025. Kabla na baada ya uchaguzi huo, kumeshuhudiwa minyukano mikali kutoka kwa makundi mawili ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe, ambao kwenye uchaguzi walikuwa wakiwania nafasi ya uenyekiti. Nguli hao wa siasa za upinzani waliwagawa wanachama na viongozi wake kwa kila kundi kumnadi mgombea wake.
Try JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →