Mwanaspoti
Outlet metrics
Global
#77041
Tanzania, United Republic of
#48
Category
N/A
Articles
-
1 week ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Katika pambano hilo ambalo limeandaliwa na promosheni ya Mafia Boxing, litawakutanisha mabondia kama Twaha Kiduku, Idd Pialali, Dullah Mbabe, Loren Japhet, Tanzania one, Fadhili Majiha huku Mchanja Yohana akitararajia kutetea mkanda wake wa ubingwa wa WBO Global dhidi ya bondia kutoka Namibia.
-
3 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Bondia huyo anasema tukio hilo lilimshawishi kujitosa kwenye ngumi. Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo imefanikiwa kuzalisha vipaji vya mchezo wa ngumi. Mkoa huo ndio anapotokea bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa, Hassan Waziri ambaye yupo chini ya menejimenti ya Mitra Sport Promotion iliyoandaa pambano la Ngumi Kitaa litakalopigwa Aprili 26, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem.
-
3 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Imani (Wema) Makongoro
Muktasari:Lundenga aliyekuwa mkurugenzi wa Lino Internation Agency, waandaaji wa Miss Tanzania tangu 1994 hadi 2018 amefariki jana baada ya kuugua kwa muda mrefu. Twigi Lundenga ambaye ni mke wa Hashim 'Uncle ' Lundenga ameeleza dakika za mwisho za mumewe. Amesema Lundenga alikata kauli akiwa ICU miezi minane iliyopita. Lundenga aliyekuwa mkurugenzi wa Lino Internation Agency, waandaaji wa Miss Tanzania tangu 1994 hadi 2018 amefariki jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.
-
3 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Mratibu huyo wa zamani wa shindano la urembo la Miss Tanzania, aliyekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu atakumbukwa kwa mengi katika tasnia ya urembo, muziki pamoja na michezo. UNCLE ameondoka. Uncle anazikwa kesho Jumatatu. Ndio Hashim Lundenga amefariki dunia jana Jumamosi na kesho anatarajiwa kuzikwa kwenye makaburi ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
-
4 weeks ago |
mwanaspoti.co.tz | Ibrahim Mussa
Muktasari:Sungu Mtata huenda unapokutana naye mtaani kama hujaambiwa ni bondia, basi siyo rahisi kukubali kutokana na nidhamu ya upole ambayo amekuwa nayo hata mwonekano wake licha ya kuwa na mwili uliojazia kwa mazoezi. KUTOKA Kibiti hadi Ikwiriri Mkoa wa Pwani, ndiyo mitaa ambayo bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa kwenye uzani wa Super Walter, Ramadhan Mkwakwate maarufu zaidi kama Sungu Mtata ndiko anakotokea.
Contact details
Address
123 Example Street
City, Country 12345
Phone
+1 (555) 123-4567
Website
http://mwanaspoti.co.tzTry JournoFinder For Free
Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.
Start Your 7-Day Free Trial →