Articles

  • 1 week ago | taifaleo.nation.co.ke | Charles Wasonga |Richard Munguti

    BAADA ya kusukumiwa presha kali na Wakenya wa matabaka mbalimbali, hatimaye Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat jana alijiondoa kwa muda afisini ili kutoa nafasi kwa uchunguzi unaoendelea kuhusu kifo cha bloga Albert Ojwang. Kwenye taarifa aliyoitoa jana, Bw Lagat alisema amechukua hatua hiyo kwa kutambua wajibu wake kama Naibu Inspekta Jenerali katika Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) na “kwa sababu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu kifo cha kusikitisha cha Albert Ojwang”.

  • Feb 28, 2025 | taifaleo.nation.co.ke | Kevin Cheruiyot |Charles Wasonga

    Vendors can use your data to provide services. Declining a vendor can stop them from using the data you shared. Exponential Interactive, Inc d/b/a VDX.tvCookie duration: 90 (days). Data collected and processed: IP addresses, Device identifiers, Probabilistic identifiers, Browsing and interaction data, Non-precise location data, Users’ profiles, Privacy choicesmoreCookie duration resets each session. View details | Privacy policyConsentRoq.ad GmbHCookie duration: 365 (days).

  • Feb 7, 2025 | taifaleo.nation.co.ke | Elvis Ondieki |Charles Wasonga

    Habari za Kitaifa Viongozi, Wakenya wamuomboleza mtangazaji wa miaka mingi Leonard Mbotela Na ELVIS ONDIEKI, CHARLES WASONGA February 7th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MTANGAZAJI mkongwe Leonard Mambo Mbotela amekufa akiwa na umri wa miaka 84. Mbotela, ambaye alijizolea umaafu kwenye anga ya utangazaji redioni, haswa kupitia kipindi chake cha “Je, Huu ni Ungwana?” alifariki jana asubuhi.

  • Feb 4, 2025 | taifaleo.nation.co.ke | David Mwere |Charles Wasonga

    Habari Mbadi: Nilisema nitapunguza ushuru ila sasa naona haitawezekana hivi karibuni Na DAVID MWERE, CHARLES WASONGA February 4th, 2025 Kusoma ni dakika: 3 WAKENYA hawatapata afueni ya mzigo wa ushuru unaowazonga hivi karibuni kwani serikali haijafaulu kukusanya kiwango lengwa cha mapato.

  • Jan 31, 2025 | taifaleo.nation.co.ke | Justus Javan Ochieng |Charles Wasonga

    Vendors can use your data to provide services. Declining a vendor can stop them from using the data you shared. Exponential Interactive, Inc d/b/a VDX.tvCookie duration: 90 (days). Data collected and processed: IP addresses, Device identifiers, Probabilistic identifiers, Browsing and interaction data, Non-precise location data, Users’ profiles, Privacy choicesmoreCookie duration resets each session. View details | Privacy policyConsentRoq.ad GmbHCookie duration: 365 (days).

Contact details

Socials & Sites

Try JournoFinder For Free

Search and contact over 1M+ journalist profiles, browse 100M+ articles, and unlock powerful PR tools.

Start Your 7-Day Free Trial →