Taifa Leo

Taifa Leo

Established in 1958, this magazine holds the distinction of being the inaugural publication of the Nation Media Group. It features a wide range of content, including political updates and general news, as well as local stories. Readers can also enjoy sections like Aunt, Cartoons, Chat, Bi National, language pages, sports, and international news.

National
Swahili
Newspaper

Outlet metrics

Domain Authority
79
Ranking

Global

N/A

Country

N/A

Category

N/A

Traffic sources
Monthly visitors

Articles

  • 16 hours ago | taifaleo.nation.co.ke | David Mwere

    Habari za Kitaifa IEBC: Wanne kifua mbele kumrithi Chebukati Na DAVID MWERE April 24th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 MCHAKATO wa kuajiri mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeripotiwa kufikia hatua ya mwisho wagombea wanne wakiwa kifua mbele huku kamati ya uteuzi ikikimbizana na muda ili kukamilisha mchakato kwa wakati.

  • 1 day ago | taifaleo.nation.co.ke | Joseph Openda

    Habari Mwanamke ang’ang’ania mali ya mwanajeshi Na JOSEPH OPENDA April 23rd, 2025 Kusoma ni dakika: 1 MWANAMKE mmoja anapigania udhibiti wa mali ya afisa mkuu wa kijeshi ambaye alikufa mwaka jana baada ya uchunguzi wa DNA kuthibitisha kuwa marehemu ni baba wa mtoto wake. Kanali Flavian Mwangi, ambaye alikuwa Mkuu wa Kikosi cha Mafunzo cha Wanahewa nchini alipatikana amefariki ndani ya gari lake muda mfupi baada ya kuondoka kambini saa kumi jioni mnamo Septemba 26, 2024.

  • 1 day ago | taifaleo.nation.co.ke | David Mwere

    Habari Kiazi moto: Sudan yaandikia Bunge la Kenya ikihusisha Ruto na ghasia nchini humo Na DAVID MWERE April 23rd, 2025 Kusoma ni dakika: 2 AFISA mmoja wa cheo cha juu katika bunge la Kenya amethibitisha kupokea barua ya malalamishi kutoka kwa serikali ya Sudan, iliyomhusisha Rais wa Kenya William Ruto miongoni mwa wanaohusika na machafuko nchini Sudan kutokana na msaada wake kwa kikosi cha RSF, ambacho kinatuhumiwa kwa kutekeleza uhalifu nchini humo.

  • 3 days ago | taifaleo.nation.co.ke | David Mwere

    Habari E-Citizen ni shimo hatari la kina kirefu, Wabunge sasa watoa kauli Na DAVID MWERE April 21st, 2025 Kusoma ni dakika: 2 WABUNGE wamebaini dosari kadhaa katika mkataba wa makubaliano kati ya kampuni za kibinafsi na serikali kuhusu uendeshaji na usimamizi wa mtandao wa kulipia huduma za serikali wa e-Citizen, kwani unaendeleza maslahi ya kibinafsi.

  • 4 days ago | taifaleo.nation.co.ke | David Mwere |Benson Matheka

    Makala Mikakati ya serikali kutumia machifu, wazee wa vijiji kuipiga jeki mashinani Na DAVID MWERE, BENSON MATHEKA April 20th, 2025 Kusoma ni dakika: 2 SERIKALI ya Kenya Kwanza imejipanga kutumia wazee wa vijiji kama sehemu ya mikakati yake ya kufufua umaarufu wake kuanzia vijijini. Hii inafuatia hatua yake ya kuingiza wazee wa vijiji katika mfumo rasmi wa utawala kupitia Rasimu ya Sera ya Utawala wa Vijiji.

Taifa Leo journalists